Posts

EVIL SEX - 2

Image
  Simulizi : Evil Sex Sehemu Ya Pili (2) Usiku mmoja Eddy akajikuta akistushwa usingizini na mzee mwenye mwili mkubwa huku uso wake ukiwa umetawaliwa na ndevu nyingi Eddy hakustuka kwani huyu mzee ni mara nyingi akiwa utotoni alikuwa anakuja kumtembelea "Eddy leo ni siku yangu ya mwisho kuja kukutembelea" "Babu Mason una maanisha nini?" "Ninamaana ya kwamba leo ninakukabidhi kila mamlaka niliyo kuwa nayo mimi...Hizi ni pete tatu nakukabidhi" "Babu hizi zina maana gani?" "Hii ya dhambarau inakupa nguvu ya kuweza kumuamrisha kiumbe chochote cha ajabu kikakutii" "Na hii ya Gold?" "Ni utajiri ambao wewe unao na inakupa heshima na hii inakusaidia kuzuia hasira zako" "Hii ya silva?" "Hii inakusaidia kujilinda?" "Kivipi?" "Ukiivaa hiyo adui zako hawata weza kukuona wala kusikia harufu yako" "Pia inaweza kufuta mawazo mabaya kwa adui zako" "Sasa babu ninaweza kuzivaa kw...