EVIL SEX - 1
IMEANDIKWA NA : EDDAZARIA G MSULWA ********************************************************************************* Simulizi : Evil Sex Sehemu Ya Kwanza (1) Kikundi cha wanafunzi wapatao kumi na tano wa chuo kikuu wakibishana juu ya uwepo wa majini katika dunia "Mimi nabishana hadi asubuhi hakuna majini duniani" "Eddy wewe tatizo lako mbishi mimi nakuambia majini wapo duniani" "Unajua ni nini,nyinyi waoga mimi siwezi kuamini mashetani hapa duniani" Mjadala ukanyamaza gafla baada ya gari aina ya Range rover kusimama na kushuka wasichana watatu weupe warefu wenye kila mvuto katika macho ya mwanaume wakiwa na mabegi ya mgongon "Jamani vyombo hivyo" "Eddy watoto waibukie" "Si muende nyinyi mimi ndio mumeniona malaya" Wasichana wakapita mbele ya kundi la wavulana na kuwasalimi wengine wakaitikia isipo kuwa Eddy akabaki akiwatazama hadi wanazamia kwenye ngazi za gorofa "Oya mcheki Eddy anavyo wakodolea mimacho hao madem...